Nishati ya miali ya simu ya mkononi hupasha joto sehemu gani?
A. mkono
B. ubongo
C. uso
D. shingo
查看答案
Simu ya mkononi huwafanya watu wapoteze uwezo gani?
A. Uwezo wa kusoma
B. Uwezo wa kuandika
C. Uwezo wa kukumbuka
D. Uwezo wa kujifunza
Ubongo wa mwanadamu huwa na uwezo wa kufyonza asilimia ngapi ya nishati itokayo kwenye miali ya simu?
A. 45
B. 50
C. 55
D. 60
Miliwatt 20 za nguvu hiyo ndiyo kiwango ambacho kinaruhusiwa kwa wanadamu kufyonza.
A. 对
B. 错
Kuna ushahidi wa kutosha kuwa simu za mikononi husababisha madhara kwa afya ya binadamu.
A. 对
B. 错